.::Poll::.
Read{soma}
Panya alikuwa anamuliza mkewe oya mbona umezaa watoto wanafanana na huyu binadam anae soma sms hii?Mkewe:kwasababu yeye ndo aliyenibaka.
Read{soma}
Kunadada m1 alipanda tax uchi kama alivyozaliwa .Mara dreva tax akamtazama yule dada akamuliza vp mbona unashangaa ujawah ona?Dereva akajibu mi nashangaa nauli ujanipa je umeiweka wapi?
Read{soma}
Kichaa alikuwa anajikuna uku kavaa miwani mara m2 mwenye akili akamwambie vua miwan ndo ujikune vzr.Kichaa akajibu mbona unajikuna makalio yako huwa huvui chupi?
Read{soma}
Mkono unapowasha inamanisha unapata pesa,na Jicho linapocheza inaanisha kuna ki2 kibaya kitatokea je tako linapowasha inamaanisha nn?
Read{soma}
Mzee m1 alikuwa kaanguka barabaran mara akajitokeza msamalia m1 akasema mpeni maziwa gafla yule mzee akajibu na bagia tano.
Mimi ni mjanja nasoma meseji za vichekesho ila hazina maana yoyote kwa sababu mi ni mjanja na cheka 2 bila kutekenywa hahaaaa!Mi bwege jamani hahahaaa!Halloo.
Vote Results
Main