click

.::Vote Results::.

Read{soma}

Panya alikuwa anamuliza mkewe oya mbona umezaa watoto wanafanana na huyu binadam anae soma sms hii?Mkewe:kwasababu yeye ndo aliyenibaka.(0%) 0 votes.
Read{soma}(0%) 0 votes.
Kunadada m1 alipanda tax uchi kama alivyozaliwa .Mara dreva tax akamtazama yule dada akamuliza vp mbona unashangaa ujawah ona?Dereva akajibu mi nashangaa nauli ujanipa je umeiweka wapi?(0%) 0 votes.
Read{soma}(0%) 0 votes.
Kichaa alikuwa anajikuna uku kavaa miwani mara m2 mwenye akili akamwambie vua miwan ndo ujikune vzr.Kichaa akajibu mbona unajikuna makalio yako huwa huvui chupi?(0%) 0 votes.
Read{soma}(0%) 0 votes.
Mkono unapowasha inamanisha unapata pesa,na Jicho linapocheza inaanisha kuna ki2 kibaya kitatokea je tako linapowasha inamaanisha nn?(0%) 0 votes.
Read{soma}(0%) 0 votes.
Mzee m1 alikuwa kaanguka barabaran mara akajitokeza msamalia m1 akasema mpeni maziwa gafla yule mzee akajibu na bagia tano.(0%) 0 votes.
Mimi ni mjanja nasoma meseji za vichekesho ila hazina maana yoyote kwa sababu mi ni mjanja na cheka 2 bila kutekenywa hahaaaa!Mi bwege jamani hahahaaa!Halloo.(0%) 0 votes.

Total 0 votes.

Main